DONDOO KUHUSU DRIP IRRIGATION
Gharama zake kutokana na ubora wa vifaa kutoka nchi mbalimbali kama.
1.CHINA
Vifaa kutoka China vina ubora wa kawaida ambapo vina uwezo wa kukaa shambani kwa muda wa miaka 3
Gharama zake kwa ekari 1 ni million 1.9 ambapo itajumuisha drip,connectors,water filters,pipes pamoja na Ufundi
2.INDIA
Vifaa kutoka India vina ubora wa kawaida ambapo vina uwezo wa kukaa shambani kwa muda wa miaka 5 bila kuathiriwa na jua.
Gharama yake kwa ekari 1 ni milion 2.5, ambapo itajumisha drip,connectors,water filters,pipes na ufundi.
3. UTURUKI
Vifaa kutoka uturuki vina ubora wa wastani ambapo vina uwezo wa kukaa shambani kwa muda wa miaka 8 bila kuathiliwa na Jua
Gharama yake kwa ekari 1 ni milion 3.5 ambapo itajuimuisha drip,connectors,water filter ,pipes na ufundi.
4. ISRAEL
Vifaa kutoka Israel vina ubora zaidi na vina uwezo wa kukaa shambani kwa muda wa miaka 15 bila kuathiriwa na Jua
Gharama yake kwa ekari 1 ni milion 4.5 ,ambapo itajumuisha drip,connectors,water filter,pipes ,na ufundi.
Pia tutakupatia ushauri wa namna ya kulima kisasa na kuweza kupata mafanikio ya uhakika katika mazao yako.
0 Comments