FAIDA ZA MFUMO WA UMWAGILIAJI WA MATONE (DRIP IRRIGATION)
1. Matumizi ya maji yanakuwa kidogo sababu yanamwaga katika mche husika.
2. Mimea inapata maji katika kiwango stahiki hivyo inapunguza mimea kuathiriwa na ukungu.
Na hasa katika kipindi cha jua kali unakuwa unatamani kulima mazao tofauti tofauti kwa kuhofia kukosekana
3. Ni njia rahisi ya kusambaza dawa kwa njia ya maji na dawa kupenya vizuri katika udongo.
4. Inapendezesha shamba lako linakuwa katika mpangilio mzuri pia ni rahisi kulihudumia shamba.
5. Unapangilia muda mzuri wa umwagiliaji maji.
Na hizo ni baadhi ya dondoo za matumizi mazuri ya drip irrigation system, kwa maji ya uhakika ni vyema ukatumia mfumo huu wa umwagiliaji maj
0 Comments